MATOKEO ya Pre Interview BRELA 16/08/2025

MATOKEO ya Pre Interview BRELA 16/08/2025
MATOKEO ya Pre Interview BRELA 16/08/2025
Haya hapa Matokeo ya Pre Interview Kutoka Kwa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) uliofanyika tarehe 16/08/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.