NAFASI Za Kazi TradeMark Africa Tanzania

Filed in Ajira by on 17.08.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi TradeMark Africa Tanzania

NAFASI Za Kazi TradeMark Africa Tanzania

NAFASI Za Kazi TradeMark Africa Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TradeMark Africa (TMA) ni shirika lililojikita katika kuongeza biashara na ustawi Barani Afrika ikiwemo Tanzania kupitia mipango mbalimbali.

TMA iliyoanzishwa 2010 inashirikiana na Serikali ya Tanzania na sekta binafsi kuboresha uwezeshaji wa biashara, kwa kuzingatia maeneo kama ufanisi wa bandari, kuvuka mipaka na viwango vya ubora.

Kwa Sasa TMA inafanya kazi katika nchi 14 kote Mashariki, Magharibi, na Kusini mwa Afrika na Pembe, na upanuzi unaendelea katika nchi sita zaidi.

Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka TradeMark Africa.

KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *