MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Singida District Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Singida District Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Singida District Council
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Singida anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 12-09-2025 hadi 13-09 2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye
usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA 31-08-2025
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Singida District Council