NAFASI Za Kazi TMHS Group Tanzania

NAFASI Za Kazi TMHS Group Tanzania
NAFASI Za Kazi TMHS Group Tanzania
Tindwa Medical and Health Services (TMHS) ni Shirika la Afya linalotoa huduma mbalimbali za matibabu, afya, na usalama katika Afrika Mashariki.
Tindwa Medical and Health Services inatoa huduma ya matibabu ya dharura, vifaa vya matibabu, huduma za afya ya kazini, usimamizi wa taka hatari, na zaidi.
Tindwa Medical and Health Services (TMHS) ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 2009, kwa sasa inafanya kazi katika nchi zote za Afrika Mashariki, ambapo kila mara inatoa huduma bora, nafuu na za uhakika kwa wateja wake.
Tindwa Medical and Health Services (TMHS) inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Tindwa Medical and Health Services (TMHS)
TUMA MAOMBI HAPA
