KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura 2025 Bukoba Municipal Council

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia
masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11
ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Bukoba Mjini anawatangazia
waombaji nafasi za Wasimamizi wa Vituo vya Kupiga Kura, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura kufika kwenye usaili tarehe 05/10/2025 katika Shule ya Sekondari Ihungo kuanzia saa 1:30 asubuhi.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura 2025 Bukoba Municipal Council