Ajira

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika WETCU 2018 LTD, Tabora

Filed in Ajira by on 18.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika WETCU 2018 LTD, Tabora

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika WETCU 2018 LTD, Tabora WETCU 2018 LTD ni Chama cha Ushirika cha Wakulima kilichosajiliwa ipasavyo chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013 na Kanuni zake za mwaka 2015. Umoja huo ulianzishwa ili kukuza maslahi ya kiuchumi na ustawi wa wanachama wake kupitia uzalishaji […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara

Filed in Ajira by on 18.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kupitia Wizara ya Afya inatangaza nafasi za kujitolea kwa kada zifuatazo:- ✅AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II NAFASI (6) SIFA ZA MWOMBAJI:- a)Mwombaji awe na Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali. b)Awe amesajiliwa na Baraza […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Mzumbe

Filed in Ajira by on 16.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Mzumbe

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Mzumbe Chuo kikuu cha Mzumbe kinakaribisha maombi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo stahiki kujaza nafasi 21 zifuatazo katika nafasi za kitaaluma katika Chuo Kikuu. Kuona nafasi hizo 21 pamoja na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali Donwload PDF hapa chini. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Chuo Kikuu Mzumbe. DONWLOAD […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council

Filed in Ajira by on 12.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council

NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa Mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Walimu NABA Schools Limited

Filed in Ajira by on 12.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Walimu NABA Schools Limited

NAFASI Za Walimu NABA Schools Limited Uongozi wa NABA Schools Limited iliyopo Mbezi Kwa msuguri, Jijini Dar es Salaam unapenda kuwatangazia nafasi za Kazi Za Walimu Kwa Watanzania wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. Nafasi Mpya Za Walimu Kutoka NABA Schools Limited DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nad Insurance Agency

Filed in Ajira by on 12.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nad Insurance Agency

NAFASI Za Kazi Nad Insurance Agency Nad Insurance Agency ni Kampuni ya Biashara ambayo imeanzishwa Juni 2014, Makao yake Makuu yakiwa Jijini Mwanza, huku ikiwa na Matawi Mbalimbali nchini kote. Nad Insurance Agency inatoa huduma kwa Mawakala wa huduma za Kifedha kawaida na wakubwa na Kutengeneza Mawakala wapya na kuwainua na wale waliokuwa hawafanyi Kazi. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

Filed in Ajira by on 11.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ni Chuo Kikuu cha Umma, kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Namba 17 ya 1992. Tangu tarehe 1 Januari, 2007, Chuo Kikuu kimekuwa kikifanya kazi chini ya OUT-Charter Inc. ya 2007, ambayo inaendana na Sheria ya Chuo Kikuu Na.7 ya 2005. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Norwegian Church Aid (NCA)

Filed in Ajira by on 11.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Norwegian Church Aid (NCA)

NAFASI Za Kazi Norwegian Church Aid (NCA) Norwegian Church Aid (NCA) ni shirika lililopewa mamlaka na Makanisa na mashirika ya Kikristo nchini Norway kufanya kazi na watu Duniani kote ili kutokomeza umaskini na ukosefu wa haki. Nchini Tanzania, NCA inafanya kazi hasa na Shirika la Kiimani ili kudumisha utu wa binadamu, kukuza haki za binadamu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TARURA Tanzania

Filed in Ajira by on 11.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TARURA Tanzania

NAFASI Za Kazi TARURA Tanzania Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ni Wakala wa Utendaji wa Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ulioanzishwa chini ya Kifungu cha 3 (1) cha Sheria ya Wakala wa Utendaji (sura.245) na Oder iliyochapishwa katika Notisi ya Serikali Na.211, ya tarehe 2 Mei 2017, na […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama December 2025

Filed in Ajira by on 10.12.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama December 2025

KUITWA Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama December 2025 Kufuatia tangazo la nafasi za ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 17 Novemba, 2025, napenda kuwafahamisha waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali kuwa, baada ya uchambuzi wa kina waombaji waliochaguliwa kuingia kwenye usaili wa hatua ya kwanza, watasailiwa kwa […]

Continue Reading »