Ajira

NAFASI Za Kazi EACOP Tanzania

Filed in Ajira by on 04.12.2025 2 Comments
NAFASI Za Kazi EACOP Tanzania

NAFASI Za Kazi EACOP Tanzania Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki ( EACOP ) Maarufu kama Bomba la Mafuta Ghafi la Uganda–Tanzania ( UTCOP ) ni bomba la mafuta ghafi la kilomita 1,443 ambalo linapangwa tangu 2013, ambalo linajengwa tangu 2017. Hadi kufikia Juni 2025, kazi ya ujenzi ilikuwa imekamilika asilimia Kwa 60. Linamilikiwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited

Filed in Ajira by on 04.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited

NAFASI Za Kazi Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited ni kampuni tanzu ya Tanzania ya kikundi cha kimataifa cha uhandisi Sandvik, kwa kuzingatia bidhaa na ufumbuzi kwaajili ya sekta ya madini na ujenzi. Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited ilianzishwa mwaka wa 1999, ilikuwa ni Mtengenezaji Mkuu wa kwanza […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kimaro Mobile Limited

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kimaro Mobile Limited

NAFASI Za Kazi Kimaro Mobile Limited Kimaro Mobile Limited ni kampuni yenye makazi yake nchini Tanzania ambayo inaonekana kuwa katika sekta ya mawasiliano ya simu au huduma za simu, ambayo ina uwezekano wa kutoa bidhaa kama vile simu za mkononi au huduma zinazohusiana, kama inavyoonyeshwa na jina lake na matangazo ya kazi. Kampuni ya Kimaro […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ellen White Pre and Primary School

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ellen White Pre and Primary School

NAFASI Za Kazi Ellen White Pre and Primary School Ofisi ya Meneja wa Ellen White School – Dodoma, inapenda kutangaza nafasi za kazi (29) za kada mbalimbali ili kuimarisha utendaji wake. Watu/Watanzania wote wenye sifa na uwezo wanaalikwa kutuma maombi yao ili kujaza nafasi za kazi kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Arusha District Council

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Arusha District Council

NAFASI Za Kazi Arusha District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ngara District Council

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ngara District Council

NAFASI Za Kazi Ngara District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri hii kuomba nafasi za kazi kumi (10) zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali kutoka Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nyasa District Council

Filed in Ajira by on 02.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nyasa District Council

NAFASI Za Kazi Nyasa District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Nyasa anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mwanza City Council

Filed in Ajira by on 29.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mwanza City Council

NAFASI Za Kazi Mwanza City Council Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

TAARIFA Muhimu Kuhusu Ajira 12,000 Za Walimu na Afya

Filed in Ajira by on 29.11.2025 0 Comments
TAARIFA Muhimu Kuhusu Ajira 12,000 Za Walimu na Afya

TAARIFA Muhimu Kuhusu Ajira 12,000 Za Walimu na Afya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Menejimenti ya Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuharakisha na kuweka wazi mchakato wa ajira 12,000 zilizotangazwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Momba District Council

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Momba District Council

NAFASI Za Kazi Momba District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba anawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »