Tag: 746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026

5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026

Filed in Elimu by on 18.01.2026 0 Comments
5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026

5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026 Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imetangaza vijana 5,746 kujiunga na mafunzo ya uanagenzi ambayo yatawawezesha kupata ujuzi wa vitendo utakao wasaidia kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kwa kujiajiri na kuajiri wenzao. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri […]

Continue Reading »