Tag: eRITA Muongozo wa Uhakiki Wa Vyeti Vya Kuzaliwa na Vifo

eRITA Muongozo wa Uhakiki Wa Vyeti Vya Kuzaliwa na Vifo

Filed in Makala by on 16.07.2025 0 Comments
eRITA Muongozo wa Uhakiki Wa Vyeti Vya Kuzaliwa na Vifo

eRITA Muongozo wa Uhakiki Wa Vyeti Vya Kuzaliwa na Vifo Uhakiki unafanyika kupitia mfumo wa eRITA pekee. Walio na VYETI VYA ZAMANI vilivyochapwa kwa typewriter watalazimika kwanza kupata vyeti vya kidijitali kwa kufuata hatua namba 1-6 hapo chini na baada ya hapo achague OLD to NEW. Baada ya kukamilisha hatua hiyo na kupata cheti kipya […]

Continue Reading »