Tag: HESLB Wanafunzi 135240 Waliopata Mikopo Awamu ya Kwanza 2025/2026

HESLB Wanafunzi 135240 Waliopata Mikopo Awamu ya Kwanza 2025/2026

Filed in Elimu by on 24.10.2025 0 Comments
HESLB Wanafunzi 135240 Waliopata Mikopo Awamu ya Kwanza 2025/2026

HESLB Wanafunzi 135240 Waliopata Mikopo Awamu ya Kwanza 2025/2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatato: Wanafunzi 40,952 wa shahada ya awali na wanafunzi 5,342 wa stashahada waliopangiwa mikopo […]

Continue Reading »