Tag: JUKUMU la Karani Mwogoza Wapiga Kura

JUKUMU la Karani Mwogoza Wapiga Kura

Filed in Makala by on 20.10.2025 0 Comments
JUKUMU la Karani Mwogoza Wapiga Kura

JUKUMU la Karani Mwogoza Wapiga Kura Karani Mwongoza Wapiga Kura ana jukumu la kuhakikisha Mpiga Kura anaelekezwa vizuri ndani ya Kituo cha kupigia kura bila usumbufu au mkanganyiko wowote. Kupitia Makala hii hapa chini tumekuwekea Majukumu Muhimu ya Karani Mwongoza Wapiga Kura Kuwapokea wapiga kura wanapofika kituoni. Kuwaelekeza wapiga kura kwenye sehemu sahihi kwa utaratibu […]

Continue Reading »