Tag: KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024

KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024

Filed in Michezo by on 27.06.2025 0 Comments
KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024

KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024 Michuano hiyo inayoandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda itafanyika Kuanzia tarehe 02 hadi 30 mwezi August 2025. Tanzania iko kundi B pamoja na timu za Madagascar, Mauritania, Burkina Faso na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Aidha Michuano hiyo hujumuisha wachezaji wanaocheza Ligi ya ndani pekee bila kuchanganya […]

Continue Reading »