Tag: KUITWA Kazini TFS Tanzania

KUITWA Kazini TFS Tanzania

Filed in Kuitwa Kazini by on 07.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini TFS Tanzania

KUITWA Kazini TFS Tanzania Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-07-2025 na tarehe 06-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »