Tag: MAGAZETI ya Leo Ijumaa 26 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 26 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 26.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 26 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 26 September 2025 Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Loveness Kisile mwenye Umri wa miaka 30 mkazi wa Mtaa wa Temeke, jijini Mwanza akituhumiwa kutoa taarifa za uongo kwa askari, ndugu, jamaa na marafiki kuwa ametekwa. Anadaiwa kutoa taarifa kwa mume na ndugu zake kwamba ametekwa na watu watatu waliotaka Sh10 milioni […]

Continue Reading »