Tag: NAFASI 1050 Za Ufadhili wa Masomo Samia Scholarship 2025/2026

NAFASI 1050 Za Ufadhili wa Masomo Samia Scholarship 2025/2026

Filed in Elimu by on 22.07.2025 0 Comments
NAFASI 1050 Za Ufadhili wa Masomo Samia Scholarship 2025/2026

NAFASI 1050 Za Ufadhili wa Masomo Samia Scholarship 2025/2026 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza Programu ya Ufadhili iitwayo ‘SAMIA SCHOLASHIPU’ kwa masomo ya shahada ya awali kwa wanafunzi 1,050 waliopata ufaulu wa juu katika mitihani ya taifa ya kidato cha sita inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, CBG, PGM, […]

Continue Reading »