Tag: NAFASI 235 Za Walimu Daraja la III C Somo la Kiingereza

NAFASI 235 Za Walimu Daraja la III C Somo la Kiingereza

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
NAFASI 235 Za Walimu Daraja la III C Somo la Kiingereza

NAFASI 235 Za Walimu Daraja la III C Somo la Kiingereza ✅MWALIMU DARAJALAIII C – KIINGEREZA (ENGLISH) – Nafasi 235 MAJUKUMU YAKAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za […]

Continue Reading »