Tag: NAFASI Za Kazi Interchick Company Ltd

NAFASI Za Kazi Interchick Company Ltd

Filed in Ajira by on 05.02.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Interchick Company Ltd

NAFASI Za Kazi Interchick Company Ltd Interchick Company Ltd ni kampuni ya Kitanzania iliyoanzishwa mwaka 1988. Interchick Company Ltd imekua ikiongoza kwa ufugaji wa kuku nchini Tanzania ambapo makao yake makuu yapo Jijini Dar Es Salaam, vifaa vyake ni pamoja na: Mashamba ya Wafugaji. Kiwanda cha Kutotolea Vifaranga. Kiwanda Cha Kusindika Kuku. Kinu Kinachozalisha Chakula […]

Continue Reading »