Tag: NAFASI Za Kazi Lake Tanganyika Co-operative Union LTD (LATCU)

NAFASI Za Kazi Lake Tanganyika Co-operative Union LTD (LATCU)

Filed in Ajira by on 01.08.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Lake Tanganyika Co-operative Union LTD (LATCU)

NAFASI Za Kazi Lake Tanganyika Co-operative Union LTD (LATCU) Chama cha Ushirika LATCU Ltd, ni chama kilichopo Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi kilichosajiliwa tarehe 11/11/1994 na kupata usajili wa Na. 5502, chama pia kilipata usajili mpya Namba AFF-KTV-MPN-MC-2023-93 mnamo tarehe 16/02/2023. Ambapo kilianzishwa kwa misingi ya kuwasaidia wakulima wa mazao mchanganyiko kupata pembejeo na […]

Continue Reading »