Tag: NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania

NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania

Filed in Ajira by on 13.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania

NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania Toyota Tanzania Ltd imekuwa msambazaji wa kipekee wa Toyota nchini Tanzania tangu 1965, ililetwa nchini Tanzania na familia ya Karimjee kupitia kampuni yao ya International Motor Mart. Kampuni mama ya Karimjee Jivanjee Ltd, ina mizizi mirefu Afrika Mashariki, tangu mwaka 1825 walipofika kama wafanyabiashara kutoka Cutch, India, na kuweka makazi […]

Continue Reading »