Tag: SERIKALI yazindua Samia Extra Scholarship

SERIKALI yazindua Samia Extra Scholarship

Filed in Elimu by on 09.07.2025 1 Comment
SERIKALI yazindua Samia Extra Scholarship

SERIKALI yazindua Samia Extra Scholarship Serikali imezindua rasmi Programu Maalum ya Samia Extra Scholarship kwaajili ya masomo ya Sayansi ya Data (Data Science), Akili Bandia (Artificial Intelligence) na Sayansi Shirikishi (Interdisciplinary Science), ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuijenga Tanzania ya uchumi wa maarifa unaoongozwa na vijana wabunifu na wenye vipaji vikubwa. Uzinduzi wa programu […]

Continue Reading »