Tag: SIMBA Yapangwa Kundi D CAF Champions League 2025/2026

SIMBA Yapangwa Kundi D CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.11.2025 0 Comments
SIMBA Yapangwa Kundi D CAF Champions League 2025/2026

SIMBA Yapangwa Kundi D CAF Champions League 2025/2026 Klabu ya Simba imepangwa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na miamba ya Tunisia Espérance Sportive de Tunis, Atlético Petróleos de Luanda ya Angola Pamoja na Stade Malien ya Mali. Droo ya Michuano hiyo imepangwa leo mchana Mjini Cairo, Misri. Hatua ya Makundi itaanza wiki ya […]

Continue Reading »