Tag: VYUO Kufunguliwa 17 November 2025

VYUO Kufunguliwa 17 November 2025

Filed in Elimu by on 08.11.2025 0 Comments
VYUO Kufunguliwa 17 November 2025

VYUO Kufunguliwa 17 November 2025 Baada ya kusogezwa mbele kwa ratiba ya kufungua taasisi za elimu ya juu kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, Serikali hatimaye imetangaza tarehe mpya ya kurejea vyuoni kwa wanafunzi. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iliyotolewa leo Novemba 8, 2025, vyuo vyote vya umma na binafsi […]

Continue Reading »