Tag: WANAFUNZI 66987 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2025/2026

WANAFUNZI 66987 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2025/2026

Filed in Elimu by on 07.11.2025 0 Comments
WANAFUNZI 66987 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2025/2026

WANAFUNZI 66987 Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2025/2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7,2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao: Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na wanafunzi 1,179 wa stashahada waliopangiwa mikopo kiasi […]

Continue Reading »