Tag: YANGA Yapangwa Kundi B CAF Champions League 2025/2026

YANGA Yapangwa Kundi B CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.11.2025 0 Comments
YANGA Yapangwa Kundi B CAF Champions League 2025/2026

YANGA Yapangwa Kundi B CAF Champions League 2025/2026 Droo ya hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2025/2026) imefanyika Leo Jumatatu tarehe 3 November 2025 huko Afrika Kusini. Klabu ya Yanga Katika droo hiyo imepangwa Kundi B Pamoja na miamba ya soka Afrika Ahly ya Misri. Timu nyingine […]

Continue Reading »