MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) 2025/2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) 2025/2026
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) 2025/2026
Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa na TAMISEMI Kujiunga na Programu Mbalimbali Katika Chuo Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi – Moshi Co-operative University (MoCU) kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026.
Unashauriwa Kuingia Kwenye http:/mocuas.mocu.ac.tz kwa kutumia namba yako ya Form Four S0000-0000-2024 Kama Jina la Mtumiaji (User Name) na Jina Lako la Mwisho Likiwa kwa Herufi Kubwa Kama Nywila (Password) kwa Uthibitisho ili Uweze Kupakua
Barua ya Kudahiliwa (Admission Letter) na Fomu yenye Maelekezo ya Kujiunga (Joining Instructions Form).
Kwa Mawasiliano Piga 0738568023, 0738568024, 0738568025, 0617474711, 0772674711.
BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Tags: MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) 2025/2026