NAFASI 100 Za Kazi Hesad Edge

NAFASI 100 Za Kazi Hesad Edge
NAFASI 100 Za Kazi Hesad Edge
Kampuni ya Hesad Edge inapenda kukutangazia nafasi za kazi 100 Za Ulinzi kwa Watanzania wenye nia, ari na sifa stahiki.
Aina ya kazi: Security Guards (Ulinzi) Nafasi: 100
Kituo cha Kazi: Morogoro na Dar es Salaam.
SIFA ZA MUOMBAJI
- Awe na umri wa miaka 18-40.
- Awe mwenye afya njema.
- Awe amepata mafunzo
ya mgambo, JKT, Polisi au awe na uzoefu wa kazi za ulinzi. - Awe tayari kupangiwa kituo cha kazi kwenye mikoa tajwa hapo juu.
- Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Tuma Maombi Kupitia yako Kupitia: Email: info@hesadedge.co.tz au WhatsApp: +255789285944
Mwisho wa Kutuma Maombi ni
tarehe: 15/07/2025 saa: 10:00 jioni.
