TAARIFA Mpya Kwa Walioitwa Kwenye Usaili wa Online tarehe 28 – 29 Julai 2025

TAARIFA Mpya Kwa Walioitwa Kwenye Usaili wa Online tarehe 28 – 29 Julai 2025
TAARIFA Mpya Kwa Walioitwa Kwenye Usaili wa Online tarehe 28 – 29 Julai 2025
HUISHA TAARIFA KWENYE AKAUNTI YAKO YA AJIRA PORTAL
Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili utakaofanyika kwa njia ya mtandao (ONLINE) tarehe 28 – 29 Julai 2025, wanatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zao za ajira portal, kwa kuainisha mahali walipo kwa sasa ili wapangiwe kituo cha usaili karibu na eneo lao.
Ili kuhuisha taarifa – nenda kwenye eneo la PERSONAL DETAILS, kisha rekebisha eneo la CURRENT RESIDENT REGION kwa kuandika Mkoa na Wilaya uliyopo kwa sasa.
Na kwa wale ambao hawajaitwa kwenye usaili kwa sababu mbalimbali, endapo watataka kukata rufaa wanaweza kuwasiliana na kituo cha Huduma kwa wateja namba 0262160350 au kwa barua pepe malalamiko@ajira.go.tz/ict@ajira.go.tz
Mwisho wa zoezi hili ni Julai 21, 2025.
Tags: TAARIFA Mpya Kwa Walioitwa Kwenye Usaili wa Online tarehe 28 - 29 Julai 2025
