NAFASI Za Kazi Agent Support

NAFASI Za Kazi Agent Support
NAFASI Za Kazi Agent Support
Kampuni ya Agent Support inatangaza nafasi Za Ajira kwa Vijana wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Za Kufungua Akaunti mpya Za wateja wapya wa Benki ya NBC (Sales Person)
SIFA NA VIGEZO VYA WAOMBAJI
- Awe na Elimu kuanzia kidato cha Nne.
- Awe na Kitambulisho cha NIDA.
- Awe na Simu Janja (Smartphone).
- Awe Muaminifu na
- Awe Mchapakazi.
MAENEO YA KAZI:
Mwanza | Kagera | Simiyu | Mara
Tuma Maombi yako kwa jobs@nad.co.tz
Mawasiliano +255 781 114 675 | info@nad.co.tz
