FOMU Za Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu (LEVEL III) 2025/2026

Filed in Elimu by on 19.07.2025 0 Comments
Share This Post
FOMU Za Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu (LEVEL III) 2025/2026

FOMU Za Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu (LEVEL III) 2025/2026

FOMU Za Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu (LEVEL III) 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuhusu taarifa ya kuchaguliwa kwa walioomba kujiunga na mafunzo ya Ufundi stadi kwa Ngazi ya Tatu kwenye vyuo vya VETA kwa mwaka wa Mafunzo 2025 2026.

Orodha ya Wanachuo Waliochaguliwa bofya hapa, Maelekezo ya kujiunga (Joining Instructions) bofya hapa.

Mafunzo yataanza rasmi Julai 21, 2025.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *