NAFASI Za Kazi Tevi Microfinance

NAFASI Za Kazi Tevi Microfinance
NAFASI Za Kazi Tevi Microfinance
TEVI Microfinance Company ni taasisi ya huduma ndogo ya fedha inayokua kwa kasi inayofanya kazi Jijini Dar es Salaam kwa karibu miaka 5.
Kampuni hiyo inatoa huduma za kifedha zinazozingatia mahitaji zinazolenga kuwezesha makampuni madogo madogo.
Tevi Microfinance kwa sasa inatafuta kuajiri watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
