NAFASI Za Kazi Kagera Kahawa Saccos Ltd

NAFASI Za Kazi Kagera Kahawa Saccos Ltd
NAFASI Za Kazi Kagera Kahawa Saccos Ltd
Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo KAKASA Ltd (KAGERA KAHAWA SACCOS LTD) ni asasi ya kifedha inayohudumia Wanachama wake ambao ni vyama vya Ushirika wa Kilimo na Masomo (AMCOS) katika wilaya za Halmashauri za Manispaa Bukoba na Bukoba Vijijini, Muleba, na Missenyi katika Mkoa wa Kagera.
Bodi ya Chama hicho inatangaza nafasi Za kazi kwa Mwombaji ambaye ni Mtanzania yeyote mwenye sifa zinazojitosheleza ili kujaza nafasi hiyo katika Ofisi za Chama zilizopo Mtaa wa Pwani, Kata ya Miembeni, Jengo la Ofisi ya Chama Kikuu cha Kagera Cooperative Union (KCU 1990 Ltd) Manispaa ya Bukoba.
Nafasi Za Kazi Kutoka Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Kakasa Ltd (Kagera Kahawa Saccos LTD)
BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI
