MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 01/08/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.08.2025 0 Comments
Share This Post
MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 01/08/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 01/08/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UDSM 01/08/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi
mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masijala, Chumba Na. 315 siku ya Jumanne, tarehe 6 Agosti, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa.kabla ya kupewa barua za ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa
hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

  • Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
  • Cheti cha kuzaliwa.
  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na
  • Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs).
  • Wasifu binafsi (CV)

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *