NAFASI Za Kazi SeaOwl Group Tanzania

NAFASI Za Kazi SeaOwl Group Tanzania
NAFASI Za Kazi SeaOwl Group Tanzania
SeaOwl Group Limited ni Kampuni ya Kimataifa inayotoa huduma za kiufundi na Usimamizi kwa Sekta za baharini, Ulinzi na Nishati.
Makao ya makuu ya SeaOwl Group Limited yapo Levallois-Perret, nchini Ufaransa.
Kampuni hiyo inazo ofisi katika nchi zaidi ya 40 Duniani, ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako inahudumia makampuni ya mafuta na gesi, pamoja na mashirika ya serikali yanayohusika na shughuli za baharini.
Aidha Kampuni hiyo inatoa huduma kwa ubora wa juu kama vile usimamizi wa meli, huduma za kitaalamu za wafanyakazi kwaajili ya ujenzi, uchimbaji visima, na matengenezo ya miradi ya miundombinu ya nishati.
SeaOwl Group Limited inawaalika Watanzania wenye nia, ari pamoja na sifa tajwa Kutuma Maombi ya nafasi zilizoanishwa hapa chini.
Kuona Vigezo na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali bonyeza link hapa chini.
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
