NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

Filed in Elimu by on 07.08.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

NAFASI 127 Za Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inayofuraha kuujulisha Umma kwamba Ufalme wa Saudi Arabia umetoa ufadhili wa masomo 127 wa uzamili kwa wanafunzi wa Kitanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Masomo haya yatafanyika katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini Saudi Arabia.

Waombaji walio na nia ya Sayansi ya Data, Akili Bandia na Sayansi Shirikishi wanahimizwa sana kuomba.

SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FROM THE KINGDOM OF SAUDI ARABIA 2025/2026

DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *