WALIMU Walioitwa Kazini Nafasi za Kujitolea Shule Za Msingi Chini ya Mradi wa IGPE – TSP

WALIMU Walioitwa Kazini Nafasi za Kujitolea Shule Za Msingi Chini ya Mradi wa IGPE – TSP
WALIMU Walioitwa Kazini Nafasi za Kujitolea Shule Za Msingi Chini ya Mradi wa IGPE – TSP
KUITWA KAZINI NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE – TSP
Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za walimu wa kujitolea katika Shule za Msingi ambao walifanya maombi kati ya tarehe 17 – 30 Mei, 2025 kuwa majina ya waombaji waliokidhi vigezo yanapatikana katika tovuti: www.tamisemi.go.tz.
Aidha, walimu waliokidhi vigezo, wanatakiwa kuripoti kwa Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo shule walizoomba kuanzia tarehe 18 hadi 31 Agosti, 2025 kwa ajili ya kujaza Mkataba wa Ajira ya Walimu wa Kujitolea na Mwajiri pamoja na kupatiwa barua za kupangwa kituo cha kazi. Tafadhali fika na Vyeti Halisi (Originals Certificates).
Walimu ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi.
ORODHA YA WALIMU 694 WALIOITWA KAZINI AJIRA ZA KUJITOLEA SHULE ZA MSINGI MRADI WA GPE TSP
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIMU WALIOITWA KAZINI AJIRA ZA KUJITOLEA
Tags: WALIMU Walioitwa Kazini Nafasi za Kujitolea Shule Za Msingi Chini ya Mradi wa IGPE - TSP
