KUITWA Kazini UTUMISHI 04/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 04.09.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini UTUMISHI 04/09/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 04/09/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 04/09/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-01-2023 na tarehe 22-07-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *