Ratiba ya NBC Premier League 2025/2026

Ratiba ya NBC Premier League 2025/2026
Ratiba ya NBC Premier League 2025/2026
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inayosimamia Ligi Kuu ya NBC Ligi ya Championship ya NBC na First League, Ratiba, Matokeo na takwimu leo Ijumaa ya tarehe 29 Agosti 2025 imetangaza ratiba ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026.
Ratiba hiyo inaonesha kuwa Ligi Kuu ya NBC Premier League Msimu wa 2025/26 itaanza tarehe 17 September 2025 na kutamatika tarehe 23 May 2026.
Ratiba Kamili ya NBC Premier League 2025/2026 imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.
NBC PREMIER LEAGUE 2025/2026
FIXTURES
DONWLOAD RATIBA YA LIGI KUU HAPA
