MATOKEO Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

Filed in Michezo by on 28.09.2025 0 Comments
Share This Post
MATOKEO Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

MATOKEO Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

MATOKEO Simba SC vs Gaborone United 28 September 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Simba imefanikiwa Kufuzu hatua ya raundi ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya
Gaborone United katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa leo Jumapili tarehe 28 September 2025.

Bao la Simba lilifungwa na Jean Charles Ahoua kwa mkwaju wa penati katika kipindi cha kwanza lakini Gaborone nao wakarejea mchezoni katika kipindi cha pili wakisawazisha kupitia penati pia.

Klabu hiyo imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1 ambapo katika raundi ya kwanza itacheza dhidi ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatini.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *