KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Itigi District Council

Filed in Usaili by on 02.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Itigi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Itigi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Itigi District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia
masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11
ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Itigi anawatangazia waombaji
wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 03/10/2025 siku ya Ijumaa katika
vituo vifuatavyo:

Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi iliyopo katika Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, Ofisi ya Kata Mitundu, Ofisi
ya Kata Mwamagembe, Ofisi ya Kijiji Kintanula na Ofisi ya Kata Rungwa. Muda wa usaili ni kuanzia saa 01:30 asubuhi.

Majina ya Watendaji wa Vituo (Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi
Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani waongozaji wapiga kura) walioitwa kwenye usaili yameambatanishwa hapa chini kwenye PDF.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *