KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bukoba District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bukoba District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bukoba District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Bukoba Vijijini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 05.10.2025 katika Ukumbi kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo hili 2:00 asubuhi.
Nafasi zilizoombwa ni kama ifuatavyo:-
A.Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura.
B.Makarani Waongozaji Wapiga Kura.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bukoba District Council