KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Korogwe District Council

Filed in Usaili by on 07.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Korogwe District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Korogwe District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Korogwe District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Korogwe Vijijini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili utakaofanyika kuanzia Tarehe 13/10/2025 hadi 15/10/2025 katika Shule ya Sekondari ya Amali-Makuyuni kuanzia saa 2:30 Asubuhi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *