KUITWA Kwenye Usaili TIE, IRDP, TARI na NECTA 07/10/2025

Filed in Usaili by on 08.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili TIE, IRDP, TARI na NECTA 07/10/2025

KUITWA Kwenye Usaili TIE, IRDP, TARI na NECTA 07/10/2025

KUITWA Kwenye Usaili TIE, IRDP, TARI na NECTA 07/10/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08/10/2025 hadi 13/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags: , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *