KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Siha District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Siha District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Siha District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Siha anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 11/10/2025 siku ya Jumamosi katika shule ya sekondari Kilingi kata ya Sanya Juu. Wasailiwa wote wanaelekezwa kuzingatia muda wa kufika eneo la usaili bila kuchelewa.
Utaruhusiwa kuingia kwenye usaili nusu saa kabla ya mtihani/usaili kuanza kama inavyoonekana kwenye kundi lako hapa chini kwenye PDF hapa chini.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Siha District Council
