KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Simanjiro District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Simanjiro District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Simanjiro District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Simanjiro anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 09 Oktoba, 2025 katika Ofisi ya Kata ya Naberera kuanzia saa 03:00 Asubuhi.
DOWNLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Simanjiro District Council