NAFASI Za Kazi K-Finance Limited

Filed in Ajira by on 09.10.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi K-Finance Limited

NAFASI Za Kazi K-Finance Limited

NAFASI Za Kazi K-Finance Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

K-Finance Limited ni taasisi inayomilikiwa na watu binafsi ya mikopo midogo midogo inayofanya kazi Dar es Salaam na Dodoma.

K-Finance Limited ambayo shughuli zake zilianza mwaka 2008 baada ya kusajiliwa na kuingizwa nchini Tanzania kama kampuni ya huduma za kifedha inayotoa mikopo na kupata leseni mwaka 2021 kama Taasisi ya Mikopo Midogo chini ya kanuni za Benki Kuu ya Tanzania inahudumia waajiriwa na wajasiriamali.

K-Finance Limited inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka K-Finance Limited

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *