NAFASI Za Kazi Meridianbet Tanzania

NAFASI Za Kazi Meridianbet Tanzania
NAFASI Za Kazi Meridianbet Tanzania
Meridian Bet Tanzania ni waendeshaji wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania.
Kampuni hiyo ina leseni ya kuendesha michezo ya bahati nasibu katika sekta zote za ubashiri, ikiwa ni pamoja na maduka ya kubashiri na ubashiri wa mtandaoni.
Mpaka sasa, Meridian Bet inaendesha shughuli zake katika mikoa yote Tanzania.
Meridian Bet Tanzania ilianzishwa mwezi Juni mwaka 2017.
Taasisi hii inamilikiwa na kampuni ya Bit Tech Limited, kampuni yenye leseni ya kufanya kazi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa usajili wa namba 135726 kutoka kwa Mamlaka ya Michezo ya Bahati Nasibu Tanzania.
Kwa sasa kampuni ya Meridian Bet Tanzania inaendesha biashara zake katika miji takribani yote nchini Tanzania.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
