KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council 

Filed in Usaili by on 11.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council 

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kawe na Kinondoni anawatangazia waombaji wote wa nafasi ya Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi wa Kituo na Karani Mwongozaji Wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025 waliochaguliwa kufika kwenye usaili utakaofanyika siku ya Jumatano ya tarehe 15 Oktoba, 2025 katika Ukumbi wa Kiramuu, Chuo cha Ustawi wa Jamii na Chuo cha Ardhi kuanzia saa 1:30 Asubuhi.

Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:-

  • Muda wa kuanza usaili ni saa 1:30 Asubuhi.
  • Msailiwa atajigharamia gharama zote ikiwemo usafiri, chakula na malazi.
  • Fika ukiwa na kitambulisho chochote.

Orodha ya majina ya waombaji waliochaguliwa kufanya usaili imeambatishwa hapa chini kwenye PDF

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *