KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Magu District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Magu District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Magu District Council
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Magu, kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya mwaka 2024, ikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025, anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupigia kura, wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura na Makarani waongozaji wapiga kura kufika kwenye usaili tarehe 14.10.2025 siku ya Jumanne katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Magu Saa 3. 00 asubuhi.
Ifuatayo ni orodha ya wasimamizi wa vituo vituo vya kupigia kura, wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura na Makarani waongozaji wapiga kura walioitwa kwenye usaili.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Magu District Council
