NAFASI 240 Za Kazi Saifee Hospital Zanzibar

NAFASI 240 Za Kazi Saifee Hospital Zanzibar
NAFASI 240 Za Kazi Saifee Hospital Zanzibar
Hospitali ya Saifee Zanzibar ni Shirika lililosajiliwa linalosimamia uendeshaji wa mtandao mkubwa wa hospitali za wilaya za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, chini ya Wizara ya Afya ya Zanzibar (MOH).
Dhamira ya Hospitali hiyo ni kutoa huduma za afya zinazofikiwa na za hali ya juu kwa jamii zote za Zanzibar kwa kuendeleza ubunifu, huruma na ushirikiano kati ya hospitali za wilaya.
kwa niaba ya Wizara ya Afya, Hospitali ya Saifee Zanzibar, inatafuta Vijana, wenye uzoefu na wenye uwezo kitaaluma ili kujaza nafasi 240 Za Kazi Kama Zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Saifee Hospital Zanzibar Limited.
DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA
