KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Muleba Kaskazini

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Muleba Kaskazini
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Muleba Kaskazini
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia
masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muleba na Kaskazini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 16/10/2025 katika kumbi zilizoainishwa kwenye tangazo kuanzia saa 2:00 asubuhi
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Muleba Kaskazini